KILIMO KWANZA TANZANIA:- Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea soko la nafaka la kimataifa la Kibaigwa mkoani Dodoma. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, August 30, 2014

KILIMO KWANZA TANZANIA:- Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea soko la nafaka la kimataifa la Kibaigwa mkoani Dodoma.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembelea soko la nafaka la kimataifa
la Kibaigwa mkoani Dodoma katika siku ya kwanza ya ziara yake mkoani
humo Agosti 28, 2014 , ambapo alijionea shehena kubwa sana ya mahindi
iliyoletwa kutoka mashambani na kusafirishwa kila pembe ya nchi.


  Mwaka
huu 2014, kama ilivyokuwa mwaka jana 2013, mavuno ya mahindi yamekuwa makubwa
kiasi hata cha kupatikana kwa mavuno ya ziada yanayolemea maghala
yaliyopo, ikiwa ni muendelezo wa mafanikio ya sera ya kilimo kwanza
ambayo imekuwa ikileta matokeo mazuri kila mwaka.

UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

PICHA NA IKULU.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad