KAZI YAKO NI JINA LAKO:-Taswira hii ya ufanyaji kazi ulinivutia sana Hapa Ngara. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, August 30, 2014

KAZI YAKO NI JINA LAKO:-Taswira hii ya ufanyaji kazi ulinivutia sana Hapa Ngara.

Siku zote Baraka ni nguvu ya Mungu ya uwezeshaji wa Mungu katika maisha ya mtu. 

 Na neno nguvu lina maana ya:-
-ufahamu
-maono
-kibali
-uvumilivu

-bidii pamoja na mambo mengine ambayo yatakufanya wewe kupanda juu kwa haraka ambayo Mungu amekusudia.

Hivyo anatakiwa kuwa na nguvu hii kusudi aweze kufanikiwa katika maisha yako kwa kufanya kazi kwa bidii na Maarifa kwani  maisha ya mtu katika hali yeyote lazima yatabadilika na kuwa mazuri zaidi ya yalivyokuwa mwanzo.


UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA
 


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad