HII INAKUHUSU :-Tazama Taswira ya Samaki Mtu (NGUVA) Aliyefia Ufukweni. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, August 12, 2014

HII INAKUHUSU :-Tazama Taswira ya Samaki Mtu (NGUVA) Aliyefia Ufukweni.

Pengine wewe ni kati ya watu ambao hawaamini uwepo wa viumbe ambao tunasadiki kuwa ni waajabu wanaofahamika kama 'Samaki Mtu' ni viumbe wa majini walio na muonekano wa viumbe viwili tofauti yaani juu mtu na kuanzia kiunoni  kushuka chini huwa na umbo la samaki, kwa jina maalumu huitwa NGUVA.

 Habari ama tukio kubwa kuhusu viumbe hao, ni kuhusu Samaki huyu adimu kabisa Duniani kumtia machoni ameonekana amefariki ama amekufa pembeni mwa ufukwe wa bahari huko Berlin, Ujerumani. 

Kama ulidhani ni hadithi za kuhadithiwa kuhusu Samaki hawa basi ujue hivi vitu vipo na vinaishi.



UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.


Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad