AJALI:-Picha 14 za Lori lafeli breki likiwa Mlima Mbalizi Mbeya na Kusababisha Ajali ya kugonga Magari matatu na Kujeruhi watu zaidi ya 10. . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, August 24, 2014

AJALI:-Picha 14 za Lori lafeli breki likiwa Mlima Mbalizi Mbeya na Kusababisha Ajali ya kugonga Magari matatu na Kujeruhi watu zaidi ya 10. .

Lori aina ya Scania lenye namba za usajili T 229 BGQ likiwa limepaki Baada ya ajali hiyo kutokea baada ya kufeli breki likiwa Mlima Mbalizi na Kusababisha Ajali ya kugonga Magari matatu na Watu Zaidi ya 10 Wakijeruhiwa.






Muonekano wa magari matatu yaliyogongwa na Lori hilo yakiwa yamepaki.







UKIONA TUKIO LOLOTE LINATOKEA USISITE KUTUTUMIA PICHA KUPITIA WhatsApp:- 0789-925-630.
 
 Like ukurasa wetu wa facebook  ili habari ziwe zinakuijia punde tu zinapoweka kwenye mtandao huu BONYEZA HAPA

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad