WIVU WA MAPENZI:-(TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZ)-Tazama Picha Jamaa akipigwa shoka la kichwa baada ya Kufumaniwa na Mke wa Mtu. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, July 22, 2014

WIVU WA MAPENZI:-(TUNAOMBA RADHI KWA PICHA HIZ)-Tazama Picha Jamaa akipigwa shoka la kichwa baada ya Kufumaniwa na Mke wa Mtu.


Baada ya madoctor wa bugando kupambana kuokoa maisha ya jamaa aliye fumaniwa huko mwanza hatimaye wamefankiwa kumtoa shoka kichwani na hali yake bado mbaya yuko ICU kwa uangalizi zaidi ........Kisa mke wa mtu...Ni sumu.

 Mkazi wa kirumba akiwa hospitalini akiwa amejeruhiwa na shoka baada ya kufumaniwa na mke watu usiku wa juzi Julai 20,2014. Alipigwa shoka la kichwa na kuingia kabisa kama unavyoona kwenye picha hizi tatu.

Picha Na:-Mitandao ya Kijamii.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad