![]() |
Hapa Ukarabati
huo Unaofanywa na Kampuni ya FARE (T) LTD ulipofikia na ulianza toka (April 12,2013) na unatarajiwa kukamilika (Juni
26,2013) ukigharimu jumla ya Shilingi Milioni 26.
|
![]() |
Hapa Ukarabati
huo Unaofanywa na Kampuni ya FARE (T) LTD ulipofikia na ulianza toka (April 12,2013) na unatarajiwa kukamilika (Juni
26,2013) ukigharimu jumla ya Shilingi Milioni 26.
|
![]() |
Hapa ni Standi ya Muda nje Kidogo ya Stand kuu ambapo ni muonekano wa Basi la Nyehunge linalofanya safari zake kati ya Wilaya ya Ngara Mkoani Kagera na Jiji la Mwanza .
|
![]() |
Hapa ni Standi ya Muda nje Kidogo ya Stand kuu ambapo ni muonekano wa Basi la Tak-Biir linalofanya safari zake kati ya Wilaya ya Ngara,Karagwe na Bukoba Mkoani Kagera . |
![]() |
Mdau wa Blog ya Mwana wa Makonda -Focas alikutwa na Camera yetu nje Kidogo ya Stand kuu akipokea Migizo ya bidhaa mbalimbali toka Bukoba . |
![]() |
Hapa Ukarabati
huo Unaofanywa na Kampuni ya FARE (T) LTD ulipofikia na ulianza toka (April 12,2013) na unatarajiwa kukamilika (Juni
26,2013) ukigharimu jumla ya Shilingi Milioni 26.
|
baada ya mda ngara na kwenyewe kutakuwa kunavutia kwa kiwango kikubwa
ReplyDelete