TUKIO KATIKA PICHA:-Tazama Lori la Mizigo Ladondoka Mtoni na kuwafunika Watu wanne Wakifariki Papo Hapo –Njombe leo hii Julai 31,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, July 31, 2014

TUKIO KATIKA PICHA:-Tazama Lori la Mizigo Ladondoka Mtoni na kuwafunika Watu wanne Wakifariki Papo Hapo –Njombe leo hii Julai 31,2014.

Lori hilo la mizigo likiwa limedondoka Chini ya Mto njia panda ya Ilembula huku  watu wanne wakiwa wamefunikwa.


 Watu wanne wamefariki papo hapo majira ya saa kumi usiku wa kuamkia leo Julai 31,2014,baada ya kudondokewa na Lori la mizigo , Lililopindukia katika mto ,eneo la njia panda ya kuelekea Ilembula,  Njombe,kutokana na kufunikwa na Lori hilo.


Baadhi ya watu wakiwa wanashuhudia tukio la ajali huku wengine wakijipanga jinsi ya kuwaokoa waliofunikwa na kifusi cha Mizigo kilichokuwa ndani ya Lori hilo.



.............. Lori la mizigo likiwa limedondoka............


 Hivi ndivyo Lori linavyo onekana likiwa limedondoka chini ya mto eneo la njiapanda Ilembula… Picha zote na Njombe yetu Blog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad