Pichani ni utambulisho ukiendelea wa wasanii wa kundi la FIGHTERS MOVIE wakiongozwa na Bad Boy wakiwa jukwaani katika ukumbi wa City Life mjini Ngara. |
Bad Boy kushoto na kundi lake la FIGHTERS MOVIE wakiwa jukwaani katika ukumbi wa City Life mjini Ngara usiku wa Eid el Fitir Julai 29,2014. |
....... Bad Boy ....... jukwaani katika ukumbi wa City Life mjini Ngara........ |
Wasanii wa kundi la FIGHTERS MOVIE wakiwa jukwaani katika ukumbi wa City Life mjini Ngara. |
Wasanii hawa walifunika kwa kutoa Burudani tosha kwa wana Ngara kama camera yetu ilivyowanasa Jukwaani. |
Pichani juu na chini ni Burudani ya akina dada wa kundi la FIGHTERS MOVIE wakiongozwa na Bad Boy wakiwa jukwaani katika ukumbi wa City Life mjini Ngara kuonesha vipaji vyao. |
......Sehemu ya baadhi ya Mashabiki wakifatilia kinachoendelea ukumbini..... |
...........Dj...akiizindua Filamu ya Maaafa ..... |
Baada ya Uzinduzi na show mbalimbali kukamilika likaachiwa Disco bab kubwa na Nyomi ya ukumbini akijiachia kwa kila aina ya uchezaji. |
No comments:
Post a Comment