MAFUNZO MAALUM JKT 2014:- Soma Majina ya Walimu wanaotakiwa Kujiunga na JKT. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, July 18, 2014

MAFUNZO MAALUM JKT 2014:- Soma Majina ya Walimu wanaotakiwa Kujiunga na JKT.


Hatimaye Jeshi la kujenga Taifa la Tanzania (JKT) limetangaza majina ya walimu ambao wanatakiwa kupitia JKT kwa ajili ya mafunzo MAALUM kama ilivyo kwa kidato cha sita,yajulikanayo kama mafunzo kwa  mujibu wa sheria.


Walimu waliochaguliwa ni wa ngazi ya cheti ambao wamepangiwa vikosi vya kwenda.

Kuangalia majina hayo tafadhali BOFYA hapo chini:-

1 comment:

  1. KWA KUWAPELEKA WAALIMU WA NGAZI YA CHETI JESHINI SERIKALI IMELAMBA DUME HILI NI JANDO NA UNYAGO LA TAIFA TULIKOSEA SANA KUONDOA JKT JE NI LINI MAADILI YA VIJANA WA KOREA YA KASKAZINI,CHINA,CUBA na ISRAEL YALIYUMBISHWA NA UTANDAWAZI NA UTANDAZUZU KWA HILI HONGERA ILA BADO WAALIMU WA ELIMU YA URAIA NA MAADILI YA TAIFA WAMEANDALIWA WAKUTOSHA

    ReplyDelete

Post Bottom Ad