CECAFA KAGAME CUP 2014- Agost 9 – 25, 2014:- RWANDA FIXTURE, Yanga SC kuanza na Rayon Sport-Agost 8,2014. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, July 23, 2014

CECAFA KAGAME CUP 2014- Agost 9 – 25, 2014:- RWANDA FIXTURE, Yanga SC kuanza na Rayon Sport-Agost 8,2014.


CECAFA imetoa Ratiba ya Mashindano ya Klabu Bingwa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA KAGAME CUP, ambayo yatachezwa huko Kigali Nchini Rwanda kuanzia Agosti 8 na kumalizika Agosti 24,2014.

Yanga SC ya Tanzania, ambao walipangwa Kundi A, wataanza kwa kuivaa Rayon Sports ya Rwanda kwenye Uwanja wa Amahoro, Kigali hapo Ijumaa Agosti 8,2014.

KMKM ya Zanzibar, ambao wako Kundi moja na Yanga SC, wataanza kwa kuivaa Atlabara ya South Sudan Siku hiyo hiyo Agosti 8,2014 kwenye Uwanja wa Nyamirambo huko Kigali.

MAKUNDI CECAFA KAGAME CUP 2014.

KUNDI A.

-Rayon Sports [Rwanda]
-Yanga [Tanzania]
-Coffee [Ethiopia]
­-Atlabara [South Sudan]
-KMKM [Zanzibar]

KUNDI B.

-APR FC [Rwanda]
-KCCA [Uganda]
-Flambeau de l'est [Burundi]
-Gor Mahia [Kenya]
-Telecom [Djibouti]

KUNDI C.

-Vital'O [Burundi]
-El Merreikh [Sudan]
-Benadir [Somalia]
-Polisi [Rwanda]

Mechi zote zitachezwa Mjini Kigali kwenye Viwanja vya Amahoro na Nyamirambo huku Rubavu ikiwa ni Uwanja wa Akiba.

Tangu Mwaka 2002 Mdhamini wake mkuu ni Rais Paul Kagame wa Rwanda ambae amekuwa akitoa Dola 60,000 kila Mwaka.

Mashindano haya yatarushwa moja kwa moja kwenye TV na SuperSport International ambacho hivi karibuni kilisaini Mkataba wa Miaka Minne na CECAFA.

Ratiba kamili itatolewa baadae na CECAFA baada Timu zote kuthibitisha kushiriki.

Mbali ya kutwaa Kombe, Bingwa wa Kagame Cup huzoa Donge la Dola 30,000, Mshindi wa Pili Dola 20,000 na Timu ya Tatu hupata Dola 10,000.
Method of qualification (Group A1, 2, 3, Group B 1, 2, 3 Group C 1, 2 qualifies to quarter finals
DATE
NO.
TEAMS
GROUP
VENUE
TIME (TBD)
Fri. 8th Aug
1
AtlabaraVs KMKM
A
 NYAMIRAMBO
2
Rayon VsYanga
A
AMAHORO
3
GorMahiaVs KCCA
B
AMAHORO
Sat. 9th Aug
4
Vital ‘O’ VsBanadir
C
AMAHORO
5
Police Vs El Mereikh
C
AMAHORO
6
APR Vs Flambeau
B
AMAHORO
Sun. 10th Aug
7
KMKM Vs Young
A
AMAHORO
8
Telecom Vs KCCA
B
NYAMIRAMBO
9
Coffee Vs Rayon
A
AMAHORO
Mon . 11th Aug
10
BanadirVs El Mareikh
C
NYAMIRAMBO
11
GorMahiaVs Flambeau
B
‘’
12
Vital ’O’ Vs Police
C
‘’
Tue. 12th  Aug
13
KMKM Vs Coffee
A
‘’
14
YangaVsAtlabara
A
‘’
Wed. 13th Aug
15
APR  Vs Telecom
B
‘’
16
KCCAVs Flambeau
B
‘’
Thur. 14th Aug
17
Coffee VsAtlabara
A
18
Rayon  Vs KMKM
A
19
Police VsBanadir
C
Fri 15th Aug
20
Flambeau Vs Telecom
B
21
APR VsGormahia
B
22
El MareikhVs Vital ‘O’
C
Sat 16th Aug
23
Coffee VsYanga
A
24
Rayon VsAtlabara
A
Sun 17th Aug.
25
Telecom VsGormahia
B
26
KCC Vs APR
B
Mon 18th Aug
REST DAY
Tue. 19th Aug
QUARTER FINALS
27
C1 Vs B3
NYAMIRAMBO
28
A1 Vs B2
‘’
Wed 20th  Aug
29
A2 Vs C2
‘’
30
B1 Vs A3
‘’
Thu 21st  Aug
REST DAY
Fri. 22nd Aug
SEMI FINALS
31
32
Winner 27 Vs Winner 28
Winner 29 Vs Winner 30
AMAHORO
Sat. 23rd Aug
REST DAY
Sun. 24th Aug
3rd Place playoff  & Finals
33
34
Loser 31 Vs Loser 32
Winner 31 Vs Winner 32
AMAHORO
(NOTE: KICK OFF TIMES TO BE DECIDED BETWEEN CECAFA,FERWAFA AND SUPERSPORT BECAUSE OF LIVE TRANSMISSION).
Rogers Mulindwa
CECFA MEDIA MANAGER

+256 772 751 829/+256 701 520 115

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad