Jeshi la
Polisi Mkoa wa Dodoma limesema ajali iliyotokea Mapema Asubuhi leo Julai
30,2014 imesababisha vifo vya watu 17 kati yao wanaume 12, wanawake 5 na
majeruhi.
|
Basi hilo
lilikuwa likiendeshwa na SAID S/O LUSOGO liligongana na Lori namba T820CKU /
T390CKT lililokuwa likitokea Dar es Salaam kuelekea Dodoma likiendeshwa na
GILBERT S/O ISAYA NEMANYA.
Taarifa ya
kamanda wa Polisi inseam katika ajali hiyo watu 17 wamepoteza maisha kati yao
wanaume ni 12 na wanawake ni 5.
Pia watu 56 wamepata majeraha mbalimbali na
wamelazwa katika Hospitali za wilaya ya Kongwa na Hospitali ya Rufaa ya mkoa wa
Dodoma.
Miongoni mwa waliofariki ni pamoja na dereva wa lori hilo pamoja na
utingo wake.
Chanzo cha
ajali hiyo ni dereva wa lori kutokuwa na tahadhari kwa magari yaliyokuwa
yanakuja mbele yake wakati anapita (overtake) gari lingine na kwenda kuligonga
busi hilo.
Thanks and I have a super offer: How To House Renovation house renovation grants
ReplyDelete