MAFANIKIO:-Tazama Picha 3 kali za Mapokezi ya Msanii Diamond Platnumz Leo Julai 30,2014-Asubuhi alipotoka Marekani. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, July 30, 2014

MAFANIKIO:-Tazama Picha 3 kali za Mapokezi ya Msanii Diamond Platnumz Leo Julai 30,2014-Asubuhi alipotoka Marekani.


Diamond Platnumz  akionesha tuzo yake aliyoshinda kwa baadhi ya vyombo vya habari  na mashabiki waliofika kumlaki,mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere leo asubuhi (30.7.2014) kutokea Marekani ambako alishinda zawadi ya Mwanamuziki bora wa kiume wa Afrika Mashariki 2014.


Mwanamuziki nyota wa miondoko ya Bongo Fleva Diamond Platnumz  akilakiwa na Mama yake Mzazi kulia pamoja na baadhi ya washabiki na wapenzi wa muziki huo hapa Nchini.


Diamond Platnumz akizungumza na baadhi ya vyombo vya habari mara baada ya kuwasili uwanja wa ndege wa kimataifa wa Julius Nyerere leo asubuhi (30.7.2014) kutokea Marekani ambako alishinda zawadi ya Mwanamuziki bora wa kiume wa Afrika Mashariki 2014.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad