UZITO UNAPOZIDI:-Tazama Picha za Ajali ya Lori ilivyotokea Eneo la Kinyerezi Dar na Kung’oa Daraja. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, June 19, 2014

UZITO UNAPOZIDI:-Tazama Picha za Ajali ya Lori ilivyotokea Eneo la Kinyerezi Dar na Kung’oa Daraja.

Semi-Trela likiwa limebeba kontena likiwa limeanguka baada ya kulielemea  kwa uzito na kulivunja daraja la chuma katika barabara ya Banana-Kinyerezi maeneo ya Tabata jijini Dar es salaam leo(June 19, 2014). Haikuweza kufahamika mara moja lilikuwa limebeba mzigo gani na kama dereva alikuwa anajua daraja hilo ni kwa magari yenye uzito wa wastani  wa tani 7 tu au ni kiburi tu.  Hakika Waziri wa Ujenzi Dkt John Pombe Magufuli  na jeshi lake wana kazi ya ziada kuhakikisha uzembe kama huu hautokei na haujirudii.



Wakazi wa Eneo hilo wakitazama ajali hiyo iliyotokea jioni ya leo June 19, 2014.Picha na:-Michuzi Blog.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad