PICHA:-Tazama ajali hii kati ya Gari na Treni iliyotokea May 31,2014 eneo la Kiloleni Mjini Tabora. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, June 01, 2014

PICHA:-Tazama ajali hii kati ya Gari na Treni iliyotokea May 31,2014 eneo la Kiloleni Mjini Tabora.

Gari ndogo ikiwa imeharibika vibaya baada ya kugonga Treni eneo la kiloleni Mjini Tabora-May 31,2014.

........Gari ikiwa imeharibika vibaya sana baada ya kugonga Treni....

......Wanainchi wa eneo hilo la Kiloleni wakiwa wanatazama ajali hiyo baada ya kutokea.....

.....  tunafuatilia kama kuna waliojeruhiwa na vifo.........

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad