NYAKANAZI:-Tazama taswira ya Magari ya Mizigo yanavyopaki eneo la Nyakanazi-wilayani Biharamulo mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, June 01, 2014

NYAKANAZI:-Tazama taswira ya Magari ya Mizigo yanavyopaki eneo la Nyakanazi-wilayani Biharamulo mkoani Kagera.

Muonekano kwa mbali ni Magari makubwa ya mizigo yakiwa yamepaki kandokando ya makutano ya barabara ya Nyakanazi-Kibondo na Nyakanazi-Ngara May 31,2014 yakisubili kuendelea na safari zao.


.....Baada ya  wa kuvuka kizuizi cha Polisi Nyakanazi saa 12 za jioni,Madereva hupaki magari yao ili kupumzika na hatimae siku inayoanza kuendelea na safari zao hasa kwenda nchi za Burundi/Rwanza na DRC kwa kupeleka Mizigo au Bidhaa za aina mbalimbali......






No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad