KOMBE LA DUNIA 2014:- Soma Ratiba ya Lala salama hatua ya Makundi leo June 23, 2014..Je nani Kuungana 16 bora na UHOLANZI, CHILE, COLOMBIA, COSTA RICA, ARGENTINA, UBELGIJI ..? - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, June 23, 2014

KOMBE LA DUNIA 2014:- Soma Ratiba ya Lala salama hatua ya Makundi leo June 23, 2014..Je nani Kuungana 16 bora na UHOLANZI, CHILE, COLOMBIA, COSTA RICA, ARGENTINA, UBELGIJI ..?

Wakitoka kupoteza mechi zao za ufunguzi kwa vipigo kutoka kwa Ujerumani na Belgium, June 22,2014, timu za Uteno na Algeria zilicheza mechi zao za pili kwenye michuano ya kombe la dunia…huku Matokeo mengine ya mechi za jana – Algeria waliwafunga South Korea 4-2.

 

Fainali za Kombe la Dunia 2014huko Brazil zinaanza Mechi zake za mwisho za Makundi kuanzia Usiku huu Jumatatu na kumalizika siku ya Alhamisi.

Hadi sasa, Nchi ambazo zimejihakikishia kucheza Raundi ya Pili ya Mtoano zikiwa na Mechi moja mkononi ni Uholanzi na Chile toka Kundi B, Colombia toka Kundi C, Costa Rica toka Kundi D, Argentina wa Kundi F na Ubelgiji toka Kundi G.


Ureno wakiongozwa na nahodha wao Cristiano Ronaldo walipata sare ya 2-2 dhidi ya USA.
 Ureno ndio walikuwa wa kwanza kupata goli kwenye dakika za mwanzo za mchezo kupitia Luis Nani, Marekani wakasawazisha kupitia Jermaine Jones, na zikiwa zimebaki dakika tisa mpira kuisha Clint Dempsey akafunga la pili.

Wakati mashabiki wa Ureno wakijua timu yao imeshapoteza mechi, Cristiano Ronaldo akatengeneza krosi kwenda kwa Varela aliyefunga goli la kusawazisha kwenye dakika ya mwisho kabisa ya mchezo.



KUNDI A
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
Brazil
2
1
1
0
3
1
2
4
Mexico
2
1
1
0
1
0
1
4
Croatia
2
1
0
1
5
3
2
3
Cameroon
2
0
0
2
0
5
-5
0

Mechi za Mwisho.

-Croatia v Mexico

-Cameroon v Brazil

Brazil na Mexico zinahitaji Sare tu kufuzu.

Lakini Brazil inaweza kufuzu hata ikifungwa na Cameroon ikiwa Mexico itaifunga Croatia.

Ili Croatia ifuzu inahitaji ushindi ingawa Sare inaweza kuwapitisha ikiwa tu Brazil itafungwa na Cameroon.

KUNDI B
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
Netherlands
2
2
0
0
8
3
5
6
Chile
2
2
0
0
5
1
4
6
Australia
2
0
0
2
3
6
-3
0
Spain
2
0
0
2
1
7
-6
0

Mechi za Mwisho.

-Australia v Hispania 

­-Uholanzi v Chile

Tayari Netherlands na Chile zimefuzu na Mechi kati yao itaamua nani Mshindi wa Kwanza wa Kundi.

Uholanzi wanahitaji Sare tu wabaki kileleni.

KUNDI C
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
Colombia
2
2
0
0
5
1
4
6
Ivory Coast
2
1
0
1
3
3
0
3
Japan
2
0
1
1
1
2
-1
1
Greece
2
0
1
1
0
3
-3
1

Mechi za Mwisho.

-Japan v Colombia

-Greece v Ivory Coast

Colombia tayari wamefuzu na kazi ipo kwa Ivory Coast, Japan na Ugiriki kusaka nafasi moja iliyobaki.

Ivory Coast kidogo wapo hali njema kwani ushindi kwao dhidi ya Greece utawaingiza Raundi ya Pili lakini hata Sare itawasaidia Japan itatoka Sare au kufungwa na Colombia.

KUNDI D
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
Costa Rica
2
2
0
0
4
1
3
6
Italy
2
1
0
1
2
2
0
3
Uruguay
2
1
0
1
3
4
-1
3
England
2
0
0
2
2
3
-1
0

Mechi za Mwisho.

-Italia v Uruguay

-Costa Rica v Uingereza

Costa Rica wamefuzu, England wako nje na kimbembe ni Italy na Uruguay nani mmoja wao atafuzu?

Uruguay hana njia ya mkato ni lazima aifunge Italy ili afuzu.

KUNDI E
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
France
2
2
0
0
8
2
6
6
Ecuador
2
1
0
1
3
3
0
3
Switzerland
2
1
0
1
4
6
-2
3
Honduras
2
0
0
2
1
5
-4
0

Mechi za Mwisho.

-Honduras v Switzerland

-Ecuador v Ufaransa

Ufaransa wako kwenye hali njema baada ya kushinda Mechi zao mbili za kwanza na kuwa na idadi kubwa ya Magoli na hili linaweza kuwasaidia kufuzu hata kama watafungwa Mechi yao ya mwisho na Ecuador.

Ecuador wanahitaji Sare ikiwa Honduras wataifunga Switzerland lakini Sare haitawasaidia ikiwa Switzerland wataifunga Honduras.

Ushindi finyu kwa Honduras ni habari njema kwa Ecuador ikiwa hawatafungwa Bao nyingi na Ufaransa.

KUNDI F
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
Argentina
2
2
0
0
1
1
2
6
Nigeria
2
1
1
0
1
0
0
4
Iran
2
0
1
1
0
1
-1
1
Bosnia
2
0
0
2
1
3
-2
0

Mechi za Mwisho.

-Nigeria v Argentina

- Bosnia- v Iran

Argentina tayari wako Raundi ya Pili na kuziacha Nigeria na Iran kuwania nafasi moja iliyobaki huku Bosnia wakiwa wametupwa nje.

Nigeria watafuzu hata wakifungwa ikiwa Bosnia itaifunga Iran.

Lakini, ili kujihakikishia usalama, Nigeria watahitaji Sare tu wakicheza na Argentina kwa lolote lile ambalo Iran watafanya mbele ya Bosnia.

KUNDI G
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
Germany
2
1
2
0
6
2
4
4
United States
2
1
2
0
4
3
1
4
Ghana
2
0
1
1
3
4
-1
1
Portugal
2
0
1
1
2
6
-4
0

Mechi za Mwisho.

-United States v Ujerumani

-Ureno v Ghana

Kwenye Mechi za mwisho za Kundi G Sare kati ya Ujerumani na USA zitawapitisha wawili hao Raundi ya Pili na Ureno ni lazima kwanza waifunge Ghana ili waanze kufikiria kufuzu.

Ureno kwanza lazima waifunge Ghana na kisha kuomba Mechi kati ya USA na Ujerumani itoe Mshindi wa Magoli ili wao wapite kitu ambacho ni kigumu.

Hali kwa Ghana ni kama hiyo ya Portugal wanahitaji ushindi na kuomba mmoja kati ya Ujerumani na USA ateleze kwa Goli nyingi.

KUNDI H
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
Belgium
2
2
0
0
3
1
2
6
Algeria
2
1
0
1
5
4
1
3
Russia
2
0
1
1
1
2
-1
1
South Korea
2
0
1
1
3
5
-2
1

Mechi za Mwisho.

-Korea Kusini v Ubelgiji

-Algeria v Russia

Ubelgiji tayari wapo Raundi ya Pili ya Mtoano.

Vita ni kati ya Algeria, ambao wana nafasi nzuri, Russia na South Korea, kuungana na Belgium. 

MECHI ZA MWISHO ZA MAKUNDI 2014.

JUMATATU, JUNI 23, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Australia v Spain
B
Arena da Baixada
1900
Netherlands v Chile
B
Arena Corinthians
2300
Croatia v Mexico
A
Arena Pernambuco
2300
Cameroon v Brazil
A
Nacional
JUMANNE, JUNI 24, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Italy v Uruguay
D
Estadio das Dunas
1900
Costa Rica v England
D
Estadio Mineirão
2300
Japan v Colombia
C
Arena Pantanal
2300
Greece v Ivory Coast
C
Estadio Castelão
JUMATANO, JUNI 25, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
Nigeria v Argentina
F
Estadio Beira-Rio
1900
Bosnia-Herzegovina v Iran
F
Arena Fonte Nova
2300
Honduras v Switzerland
E
Arena Amazonia
2300
Ecuador v France
E
Estadio do Maracanã
ALHAMISI, JUNI 26, 2014
SAA
MECHI
KUNDI
UWANJA
1900
United States v Germany
G
Arena Pernambuco
1900
Portugal v Ghana
G
Nacional
2300
South Korea v Belgium
H
Arena Corinthians
2300
Algeria v Russia
H
Arena da Baixada


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad