BREAKING NEWS:-Lori la Azam lanusurika kupata Ajali baada ya Dereva wake kushikwa na Homa ya Ghafla wakati likipanda Mlima wilayani Ngara mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, June 15, 2014

BREAKING NEWS:-Lori la Azam lanusurika kupata Ajali baada ya Dereva wake kushikwa na Homa ya Ghafla wakati likipanda Mlima wilayani Ngara mkoani Kagera.

Tukio hilo imetokea leo June 15, 2014,majira ya Jioni saa 12 katika eneo la Mlima wa Kumuyange mjini Ngara-Barabara kuu ya Ngara-Lusahunga.


  Dereva wa Lori hilo (ambaye jina lake halijapatikana mara moja) Mali ya Kampuni ya Azam akiwa safarini toka Dar es Salaam kuelekea Nchini Burundi alishikwa na mshituko wa Homa ghafla ,hali iliyomfanya ashindwe kujitambua huku Lori hilo likiwalinapanda mlima huo na hivyo gari hilo kuanza kurudi nyuma hadi liliposimama kama picha zinavyoonyesha.


Dereva wa Lori hilo la Azam aliokolewa na wananchi wa eneo hilo na kukimbizwa katika hospitali ya Murgwanza kwa matibabu Zaidi.



No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad