INAUMA SANA:- Albino auawa-Akatwa Mguu,Vidole huko SIMIYU. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, May 13, 2014

INAUMA SANA:- Albino auawa-Akatwa Mguu,Vidole huko SIMIYU.


Mwili wa marehemu Nughu Lugata ulivyokutwa ambapo MAREHEMU Nughu Lugata ambaye ni albino ameuawa na viungo vyake kuchukuliwa na watu wasiojulikana jana (May 12, 2014) majira ya saa moja jioni huko Bariadi mkoani Simiyu.



Nughu ameuawa kwa kukatwa mapanga na baadhi ya viungo vyake kama mguu wa kushoto na vidole vitatu kuchukuliwa na watu wasiojulikana.

Marehemu alikuwa mkazi wa Gasuma akijishughulisha na kilimo.



Mguu wa marehemu Nughu Lugata ukiwa umekatwa…Picha Na:-GPL.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad