AJALI:-Basi la Al Saedy lapasuka tairi la mbele na kuhama njia-kisha kuingia Porini katika eneo la Kosovo-wilayani Kasulu huku Dereva wake akivunjika mkono. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, May 11, 2014

AJALI:-Basi la Al Saedy lapasuka tairi la mbele na kuhama njia-kisha kuingia Porini katika eneo la Kosovo-wilayani Kasulu huku Dereva wake akivunjika mkono.

Ni basi la kampuni ya Al Saedy lililokuwa linatoka mkoani Kigoma kwenda Jijini Dar es Salaam  likiwa limeingia porini baada ya kupasuka kwa tairi la mbele na kuacha njia na kunusurika kuanguka  huku Dereva wake akivunjika mkono.

Ajali hiyo imetokea leo May 11, 2014,Majira ya Asubuhi katika eneo la Mtabila-maarufu kwa jina la Kosovo wilayani Kasulu mkoani Kigoma, katika barabara kuu ya Kigoma-Nyakanazi na hakuna majeruhi wengine zaidi walioripotiwa zaidi ya Dereva pekee.




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad