Tazama Picha Jinsi basi lilivyopata hitilafu katikati ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, April 02, 2014

Tazama Picha Jinsi basi lilivyopata hitilafu katikati ya Hifadhi ya Taifa ya Ngorongoro.

Basi la kampuni ya AM likiwa limepata hitilafu katikati ya hifadhi ya taifa ya Ngorongoro.

Gari la mafuta likivuka moja ya daraja ndani ya hifadhi hiyo ya taifa ya Ngorongoro.


Eneo la mto ambalo linatajwa kuwa ni manywesheo ya wanyama katika hifadhi ya taifa ya Ngorongoro ambapo basi la kampuni ya AM lilipata hitilafu.

Kondakta wa basi la AM aliyefahamika kwa jina la Majogoro akichota maji kwenye mto kwa ajili ya kuweka kwenye rejeta baada ya injini kuchemsha.





Wanyama mbalimbali ndani ya hifadhi ya taifa ya Ngorongoro.
 Chanzo Na:-issamichuzi Blog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad