PICHA:-Tazama Papa Francis akiwatangaza Papa John Paul II na John XXIII kuwa watakatifu ,April 27, 2014-Jijini Vatican. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, April 27, 2014

PICHA:-Tazama Papa Francis akiwatangaza Papa John Paul II na John XXIII kuwa watakatifu ,April 27, 2014-Jijini Vatican.

Mahujaji wakifuatilia tukio la kuwatangaza watakatifu Papa John Paul II na John XXIII jijini Vatican leo(April 27, 2014) ambapo Tukio hilo limeendeshwa na Papa Francis pamoja na mtangulizi wake Papa Benedict XVI.

Waandishi wa habari kutoka vyombo mbalimbali  wakiwa kazini wakati wa zoezi hilo la Papa John Paul II na John XXIII kutangazwa kuwa watakatifu katika tukio la kihistoria lililoshuhudiwa na mahujaji zaidi ya milioni moja huko jijini Vatican leo(April 27, 2014).

.......Papa Francis akiongoza ibada kabla ya kuwatangaza watakatifu.…

Papa Benedict XVI akisalimiana na Rais wa Italia,Giorgio Napolitano jijini Vatican.

Mapadre wakiwa wamebeba picha za watakatifu Papa John Paul II (kulia) na John XXIII (kushoto) walipotangazwa kuwa watakatifu katika tukio la kihistoria lililoshuhudiwa na mahujaji zaidi ya milioni moja huko jijini Vatican leo(April 27, 2014).


Papa Francis akiwasalimia waumini waliohudhuria ibada ya leo(April 27, 2014)…Tukio hilo limeendeshwa na Papa Francis pamoja na mtangulizi wake Papa Benedict XVI.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad