AJALI:-Tazama Picha ya Basi la RATCO likipata Ajali kwa kutumbukia mtaroni leo April 27, 2014-Eneo la Kongowe-Kibaha. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, April 27, 2014

AJALI:-Tazama Picha ya Basi la RATCO likipata Ajali kwa kutumbukia mtaroni leo April 27, 2014-Eneo la Kongowe-Kibaha.

Ni muonekano wa Basi la RATCO linalofanya safari zake kutoka Dar Es Salaam kwenda Tanga na Tanga kuja Dar Es Salaam likiwa limepata ajali eneo la Kongowe-Kibaha mkoani Pwani leo (April 27, 2014) kwa kupinduka na kulalia ubavu baada ya kuacha njia na kutumbukia mtaroni.

Imeelezwa kuwa chanzo cha ajali hiyo ni gari dogo kuchomoka tairi kasha basi hilo la RATCO kulikanyaga tairi hilo na kulisababishia kupoteza mwelekeo wa njia kasha kutumbukia mtaroni.
Baadhi ya Abiria walionekana kupitia madirishani ili kujinusuri baada ya  basi hilo la RATCO kupata ajali kwa kupoteza mwelekeo wa njia kashi kutumbukia mtaroni katika eneo la Kongowe-Kibaha,Pwani.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad