PICHA:-Taswira ya Ajali ya basi la Magu Logistics (April 10,2014 eneo la Busiri na kujeruhi Abiria 9. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, April 13, 2014

PICHA:-Taswira ya Ajali ya basi la Magu Logistics (April 10,2014 eneo la Busiri na kujeruhi Abiria 9.

Basi la kampuni ya Magu Logistic lenye namba za usajili T 949 ACN linalofanya safari kutoka wilayani Ngara kuelekea Jijini Mwanza likiwa limepata ajali (April 10,2014) katika eneo la Busiri wilayani Biharamulo Mkoani Kagera ambapo abiria tisa waliokuwa wakielekea Mwanza  walinusurika kifo ,na kujeruhiwa na wamelazwa katika Hospitali teule wilayani Biharamulo.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad