Chini na juu ni lori la mafuta likiwa limetumbukia eneo la Mbagala Jijini dar es Salaam kufuatia Mvua zinazoendelea kunyesha na kusababisha mafuriko ya Maji jijini humo.
|
akijitutumua kupita lakini aaaah wapi, safari iliishia hapa…Picha
Na:-Sufiani Mafoto.
|
Huyu sasa hata sijui alikuwa akielekea wapi huku..
|
Nje ya maduka ya Kariakoo jana(Aprili 12,2014) mchana...wakati mvua zikiendelea kunyesha.
|
No comments:
Post a Comment