MIAKA 50 YA MUUNGANO:-Tazama Picha Askari Magereza wakionesha wanavyopambana na Wafungwa wakorofi Magerezani. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, April 28, 2014

MIAKA 50 YA MUUNGANO:-Tazama Picha Askari Magereza wakionesha wanavyopambana na Wafungwa wakorofi Magerezani.

 'Wafungwa' wakijifua kupambana na askari Magereza katika moja ya maonesho yaliyotia fora sana kwenye sherehe za miaka 50 ya Muungano wa Tanganyika na Zanzibar,katika Uwanja wa Taifa jijini Dar es salaam April 26,2014.

..........Askari akipambana na 'Mahabusu' aliyeasi............

................. Askari akila sahani moja na 'wafungwa' watatu.........................

........................ Askari anapangua teke.........................

....................... Kisha anakata zote .................

........................... Mfungwa hoi.......................

Anadakwa kilaaiiini....Hii ilikuwa ni igizo tu, kwani hakukuwepo na mfungwa halisi bali askari waliovalia aina ya nguo za wafungwa....Chanzo Na:- Michuzi Blog.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad