MAAJABU:-Kijana Ndila Fugo na kikundi cha Red Scapion na Maajabu ya kuinua na kuzuia Vitu Vizito . - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, April 15, 2014

MAAJABU:-Kijana Ndila Fugo na kikundi cha Red Scapion na Maajabu ya kuinua na kuzuia Vitu Vizito .

Ni muonekano wa kijana mwenye miaka  28 na kilo 120 akinyanyua pikipiki na kuzuia nyingine mbili aina ya a SUNLG akitumia kamba iliyofungwa kwenye mikono yake katika tukio liliofanyika wiki iliyopita katika Maadhimisho ya wiki ya Elimu yaliyofanyika Shule ya Sekondari Nyakahura-wilayani Biharamulo mkoani Kagera.

Kijana huyo Ndila Fugo mkazi wa Nyakahura ,Mizani wilayani Biharamulo mkoani Kagera aliye na kikundi cha Red Scapion alizuia pikipiki hizo pia kwa kutumia mabega yake huku wenye nazo wakijaribu kuondoka nazo lakini haikuwezekana.

Kijana Ndila Fugo mkazi wa Nyakahura ,Mizani wilayani Biharamulo mkoani Kagera  na kikundi cha Red Scapion akizuia pikipiki kwa kutumia mabega yake huku wenye nazo wakijaribu kuondoka nazo na kushindwa.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad