HIVI NDIVYO:-Vyandarua vilivyotolewa na Serikal kupunguza malaria vinavyotumika vibaya. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, April 09, 2014

HIVI NDIVYO:-Vyandarua vilivyotolewa na Serikal kupunguza malaria vinavyotumika vibaya.

Uchunguzi umebaini kuwa familia ambazo zinazingatia ushauri na maelekezo ya wataalam wa afya katika matumizi sahihi ya vyandarua na kukubali kunyunyuzia dawa za kuzuia mmbu, wapo katika hatari ndogo zaidi kuambukizwa ugonjwa wa malaria Lakini vyandarua hivyo vimekuwa vikitumiwa tofauti kabisa na Malengo yaliyokusudiwa katika kupambana na Malaria kama Picha zinavyoleza hapa chini..Picha Na Mdau wetu:- Juventus Juvenary-Biharamulo.




No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad