Vurugu zinapojitokeza na Gari la Wizara kupinduliwa kwa Mawe….?.. Zanzibar. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, March 13, 2014

Vurugu zinapojitokeza na Gari la Wizara kupinduliwa kwa Mawe….?.. Zanzibar.

Habari zilizopatikana mchana waLeo March 13,2014, kutoka visiwani Zanzibar zinasema kuwa vijana wenye mikokoteni inayovutwa na Ng'ombe wamefanya vurugu na kuanza kupiga mawe magari ya serikali huku wakijerui wafanyakazi wa serikali kadhaa. 

Katika kadhia hiyo, walisababisha gari la Katibu Mkuu Wizara ya Fedha na Uchumi,  Mhe. Khamis Musa kupinduka kama linavyoonekana pichani.

 Inaelezwa kuwa chanzo cha vurugu hizo ni kupigwa marufuku kwa mikokoteni hiyo kuingia mjini, kitendo ambacho kinapingwa na wamiliki.
PICHA: Mdau, zanzibar.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad