 |
|
Sehemu ya
mashabiki wa Dortmund hapo jana March 19,2014,ambapo pamoja na Dortmund
kufungwa nyumbani kwenye uwanja wa Signal Iduna Park mabao 2-1 na Zenit St
Petersburg ya nchini Urusi,ilifanikiwa kuingia hatua ya robo fainali ya
michuano hiyo ya ligi ya mabingwa barani ulaya (UEFA)
kwa jumla ya mabao 5-3.
|
 |
|
Mshambuliaji Hulk akishangilia bao lake hapo
jana usiku........Mabao ya Zenit yalifungwa na mshambuliaji raia wa
Brazil Hulk kwa shuti kali na lingine lilifungwa na Salomon Rondon wakati lile
la Dortmund lilifungwa na kiungo mkongwe Sebastian Kehl.
|
 |
|
Wachezaji wa
Dortmund wakijumuika na mwenzao Sebastien Kehl kushangilia bao lake....pamoja
na Dortmund kufungwa nyumbani kwenye uwanja wa Signal Iduna Park mabao 2-1 na
Zenit St Petersburg ya nchini Urusi,ilifanikiwa kuingia hatua ya robo fainali
ya michuano hiyo ya ligi ya mabingwa barani ulaya kwa jumla ya mabao 5-3.
|
 |
|
Kocha wa
Dortmund Jurgen Kloop akishangilia na wachezaji wake kufuzu hatua ya robo
fainali ya michuano ya UEFA Champions League hapo jana March 19,2014 usiku.
|
 |
|
United players
celebrate Van Persie's second goal, but there was more to come ambapo Mabao
matatu ya mshambuliaji Robin Van Persie yaliisaidia Manchester Utd kuifunga
Olympiakos ya Ugiriki MABAO 3-0 na kufanikiwa kufuzu hatua ya robo fainali kwa
jumla ya mabao 3-2.
|
 |
|
Man United's
Antonio Valencia with swollen eye after clash with Joel Campbell
|
TIMU ZILIZOTINGA
ROBO FAINALI UEFA 2013/2014.
-Bayern Munich
-Atletico Madrid
-Barcelona
-Paris
Saint-Germain
-Chelsea
-Real Madrid
-Manchester United
-Borussia Dortmund
No comments:
Post a Comment