![]() |
|
Kaimu
mkurugenzi MSD,COSMAS MWAIFYA ambapo alibainisha kuwa Awali, bohari ya Mwanza
ilikuwa ikihudumia mikoa 6, halmashauri 37, vituo vya afya na zahanati
elfu moja na 73.
|
![]() |
|
Picha ya
pamoja ya Viongozi mbalimbali waliohudhuria ufunguzi huo wa Kituo cha Vifaa
tiba na dawa(MSD) jana March 08,2014 wilayani Muleba mkoani Kagera.
|














No comments:
Post a Comment