![]() |
|
Nahodha wa timu ya taifa ya Ureno na Mwanasoka bora wa dunia Cristiano Ronaldo ndio mwanasoka tajiri zaidi duniani.
|
Katika listi hiyo iliyotangazwa leo, Ronaldo amerithi nafasi ya kwanza
iliyokuwa ikishikiliwa na David Beckham kwa muda mrefu kaba ya kustaafu msimu
uliopita.
Ronaldo ambaye alisaini mkataba mnono zaidi na Real Madrid miezi
kadhaa iliyopita amempita mshindani wake Lionel Messi na mwanasoka anayelipwa
zaidi kimshahara Wayne Rooney.
Samuel Eto'o ndio muafrika pekee aliyeweza kuingia kwenye listi ya
wanasoka matajiri zaidi duniani.
LISTI KAMILI.
1. Cristiano Ronaldo £122m
2. Lionel Messi £120.5m
3. Samuel Eto'o £70m
4. Wayne Rooney £69m
5. Kaka £67.5m
6. The Neymar family £66m
7. Ronaldinho £64m
8. Zlatan Ibrahimovic £57m
9. Gianluigi Buffon £52m
10. Thierry Henry £47m
2. Lionel Messi £120.5m
3. Samuel Eto'o £70m
4. Wayne Rooney £69m
5. Kaka £67.5m
6. The Neymar family £66m
7. Ronaldinho £64m
8. Zlatan Ibrahimovic £57m
9. Gianluigi Buffon £52m
10. Thierry Henry £47m
Source:- Goal.com






No comments:
Post a Comment