Tazama Picha ya Lori aina ya Fuso lilivyoanguka Mjini Kibondo likiwa na Mzigo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, March 22, 2014

Tazama Picha ya Lori aina ya Fuso lilivyoanguka Mjini Kibondo likiwa na Mzigo.


Lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 624 AAL likiwa limeanguka Mjini Kibondo Jana March 21,2014,Mchana ambapo chanzo chake kinaelezwa pamoja na kupakia Mzigo kupita kiasi,Dereva lilimshinda kukata kona wakati anajaribu kujibalance ili apite kwenye kona hiyo.


Mwenye suti ni Mkuu wa wilaya ya Kibondo Bw.Venance Mwamoto sambamba na Mkuu wa Polisi wilayani humo wakilitazama Lori hilo aina ya Fuso lenye namba za usajili T 624 AAL  baada ya kuanguka likiwa na Mzigo wake Jana March 21,2014,mchana  Mjini Kibondo.
Muonekano wa mbele wa Lori aina ya Fuso lenye namba za usajili T 624 AAL likiwa limeanguka Mjini Kibondo Jana March 21,2014,katika tukio hilo hakuna mtu aliyejeruhiwa wa kuripotiwa kufariki.


Baadhi ya wakazi wa mjini Kibondo walijitokeza kushuhudia ajali hiyo  ambapo chanzo chake kinaelezwa pamoja na kupakia Mzigo kupita kiasi,Dereva lilimshinda kukata kona wakati anajaribu kujibalance ili apite kwenye kona.Picha Na Mdau:-Baba Riz-Kibondo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad