Kwa Mujibu
wa Ibrahim Khalidi
anasema kuwa huyu Jamaa ni Msukuma, katokea Bariadi mkoani Shinyanga na alikuwepo
Mwanzo mwisho kushuhudia Maonyesho hayo
ya Kuinua Vitu vizito yaliyofanyika Mizani ,Nyakahura wilayani Biharamulo
mkoani Kagera Hivi Karibuni. Kiukweli anawakilisha anga za Kimataifa. Bigup
Sukuma.
Wednesday, March 12, 2014
Tazama ….Bonge la burudani la kunyanyua vitu vizito’’….
Tags
# MICHEZO
Sambaza Hii
Chief Editor | Mhariri
MICHEZO
Labels:
MICHEZO
Subscribe to:
Post Comments (Atom)
Kuhusu Mwandishi
Journalist / Chief Editor / Tanzanian Blogger
Simu: 0756830214 / 0620197747 / 0789925630.






No comments:
Post a Comment