LA LIGA 2013/2014:-Picha za mchezo wa soka,Lionel Messi akipiga hat-trick Barcelona ikishinda 4-3 dhidi ya Real Madrid. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, March 24, 2014

LA LIGA 2013/2014:-Picha za mchezo wa soka,Lionel Messi akipiga hat-trick Barcelona ikishinda 4-3 dhidi ya Real Madrid.

Lionel Messi amefunga Hat trick na kuisaidia FC Barcelona kupindua matokeo na kuifunga Real Madrid kwa mabao 4-3 katika mechi ya La Liga iliyochezwa Usiku wa March 23,2014, kwenye Uwanja wa Santiago Bernabeu Jijini Madrid,nchini Hispania.



Mabao matatu ya Madrid yalifungwa na Cristiano Ronaldo kwa mkwaju wa penati na Karim Benzema akapachika mawili.


Goli moja la Barcelona lilifungwa na Iniesta katika dakika ya saba na Messi akafunga hayo matatu, mawili yakiwa ya mikwaju ya penati huku beki Sergio Ramos akilambwa kadi nyekundu kwa kumuangusha Neymar.



Mashabiki wawili wa Real Madrid wakiwa na bango la kumtukuza Cristiano Ronaldo "Ameumbwa peponi".



Licha ya kufungwa,Real Madrid wamebaki nafasi ya pili katika msimamo na pointi 70 sawa na Atltetico Madrid wanaoongoza kwa tofauti ya mabao ya kufunga na kufungwa ambayo mapema iliifunga Real Betis 2-0, mabao ya Gabi dakika ya 58 na Diego Costa 64, huku FC Barcelona wakifikisha 69 na kujisogeza vizuri kwenye mbio za ubingwa wa La Liga.

Position Team Played Goal Difference Points
1 Atlético Madrid 29 45 70
2 Real Madrid 29 50 70
3 Barcelona 29 60 69
4 Athletic Bilbao 29 20 55
5 Sevilla 29 9 47
6 Real Sociedad 28 10 46
7 Villarreal 29 13 45
8 Valencia CF 29 1 39
9 Levante 29 -9 37
10 Espanyol 29 -2 37
11 Granada CF 29 -11 34
12 Celta de Vigo 29 -8 33
13 Málaga 29 -8 32
14 Rayo Vallecano 29 -30 30
15 Elche 29 -17 30
16 Osasuna 29 -25 29
17 Getafe 29 -20 28
18 Real Valladolid 29 -18 27
19 Almería 28 -25 26
20 Real Betis 29 -35 19

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad