Cheki Picha kadhaa Jinsi Mvua iliyoambatana na Upepo mkali ikileta Maafa katika Kitongoji cha Mumiterama wilayani Ngara mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Friday, March 07, 2014

Cheki Picha kadhaa Jinsi Mvua iliyoambatana na Upepo mkali ikileta Maafa katika Kitongoji cha Mumiterama wilayani Ngara mkoani Kagera.

Mvua hiyo iliyonyesha Jana March 06,2014 katika baadhi ya Maeneo ya wilaya ya Ngara mkoani Kagera iliambatana na upepo mkali ambapo  katika Kijiji cha Nyamiaga ,kitongoji cha  Mumiterama  mvua hiyo ilileta maafa  kwa kuharibu mazao na baadhi ya Nyumba kubomoka kama picha zinavyoeleza hapo chini.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad