Tazama Taswira ya ajali ya Malori mawili yakiharibika Vibaya katika makutano ya eneo la Rwamishenye mjini Bukoba. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, February 03, 2014

Tazama Taswira ya ajali ya Malori mawili yakiharibika Vibaya katika makutano ya eneo la Rwamishenye mjini Bukoba.

Ajali hii Imetokea katika makutano ya eneo la  Rwamishenye  mjini Bukoba hivi karibuni, ikihusisha magari mawili (Lori) aina ya Scania yakitokea sehemu moja yote yakiwa na mizigo..Picha Na:-Harakatinews Blog.

Chanzo chake kimeelezwa kuwa ni baada ya moja kupata itilafu na kushuka kwa kasi eneo la kwa KAGAMBO ambapo katika jitihada za kupishana na lililokuwa mbele yake yamekwanguana na kusababisha uaribifu mkubwa wa magari hayo.
Muonekano wa Lori likiwa liharibika  vibaya  baada ya moja kupata itilafu na kushuka kwa kasi eneo la kwa KAGAMBO ambapo katika jitihada za kupishana na lililokuwa mbele yake yamekwanguana na kusababisha uaribifu mkubwa magari hayo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad