Cheki Picha 3 za machinjio bubu ya nyama ya mbuzi huko kijiji cha Rwinyana,Kata Bugarama wilayani Ngara Mkoani Kagera. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET

Post Top Ad

Monday, February 03, 2014

Cheki Picha 3 za machinjio bubu ya nyama ya mbuzi huko kijiji cha Rwinyana,Kata Bugarama wilayani Ngara Mkoani Kagera.

Baadhi ya wafanyabiashara wa nyama ya mbuzi wakiwa vichakani katika machinjio bubu huko kijiji cha Rwinyana,Kata Bugarama wilayani Ngara Mkoani Kagera ,wakifanya kazi zao katika mazingira hatarishi na kiukweli wanahitaji machinjio ya kisasa ili kuboresha uchinjaji pamoja na biashara yao.

Picha na Shaban Ndyamukama.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad