Tazama Picha Rais Kikwete wa Tanzania alipotembelea Majengo ya Bunge mjini Dodoma kujionea marekebisho ya ukumbi tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, February 03, 2014

Tazama Picha Rais Kikwete wa Tanzania alipotembelea Majengo ya Bunge mjini Dodoma kujionea marekebisho ya ukumbi tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akikagua sehemu ya kukalia katika Ukumbi wa Bunge  mjini Dodoma alikotembea kukagua maendeleo ya ukarabati na kufanyiwa marekebisho tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu.




Rais Jakaya Mrisho Kikwete akipiga picha ya pamoja na wafanyakazi wa kampuni ya ujenzi inayokarabati na kufanyia marekebisho ukumbi wa bunge mjini Dodoma tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akitembezwa sehemu mbalimbali za majengo ya Bunge jijini Dodoma alikotembea kukagua inayokarabati na kufanyiwa marekebisho tayari tayari kwa kupokea wajumbe wa Bunge la katiba baadaye mwezi huu.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad