Arsenal na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Crystal Palace sasa wapanda kileleni mwa Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza wakiwa Pointi 2 mbele ya Manchester City. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Sunday, February 02, 2014

Arsenal na ushindi wa bao 2-0 dhidi ya Crystal Palace sasa wapanda kileleni mwa Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza wakiwa Pointi 2 mbele ya Manchester City.

Beki wa Liverpool ,Kolo Toure alitoa pasi fyongo iliyomkuta Straika Victor Anichebe na kuisawazishia West Bromwich Albion katika Dakika ya 67 baada ya kuwa nyuma tangu Dakika ya 24 walipofungwa na Daniel Sturridge aliepokea pasi safi toka kwa Luis Suarez.


Sare hii imezibakisha Timu zote mbili kwenye Nafasi zao zilezile kwa Liverpool kubaki Nafasi ya 4 na WBA kushika Nafasi ya 17.
Aidha magoli mawili ya Kipindi cha Pili ya Alex Oxlade-Chamberlain katika  Dakika ya 47 na 73 Usiku huu(Feb 02,2014)  zimewapa Arsenal ushindi wa Bao 2-0 dhidi ya Crystal Palace na kuwapandisha kileleni mwa Msimamo wa Ligi Kuu Uingereza wakiwa Pointi 2 mbele ya Manchester City ambao kesho Jumatatu(Feb 03,2014) Usiku wako kwao Etihad kuivaa Chelsea.

Bao la kwanza lilitengenezwa na Santi Cazorla na la pili kusukwa na Olivier Giroud na yote kumaliziwa kifundi na Oxlade-Chamberlain ambae hii ndio mara ya kwanza kufunga Msimu huu kwenye Ligi.


Matokeo ya leo Feb 02,2014 EPL.
 Bottom of Form
  • West Brom 1 - 1 Liverpool 
  • Arsenal 2 - 0 Crystal Palace

    Position Team Played Goal Difference Points

    LIGI KUU UINGEREZA 2013/2014 RATIBA MECHI ZIJAZO.

    [Saa za Bongo]
    Jumatatu Februari 3,2014.

    23:00 Man City v Chelsea

    Jumamosi Februari 8,2014.

    1545 Liverpool v Arsenal
    1800 Aston Villa v West Ham
    1800 Chelsea v Newcastle
    1800C rystal Palace v West Brom
    1800 Norwich v Man City
    1800 Southampton v Stoke
    1800 Sunderland v Hull
    2030 Swansea v Cardiff

    Jumapili Februari 9,2014.

    1630 Tottenham v Everton
    1900 Man United v Fulham

    Jumanne Februari 11,2014.

    2245 Cardiff v Aston Villa
    2245 Hull v Southampton
    2245 West Ham v Norwich
    2300 West Brom v Chelsea

    Jumatano Februari 12,2014.

    2245 Arsenal v Man Unitwd
    2245 Everton v Crystal Palace
    2245 Man City v Sunderland
    2245 Newcastle v Tottenham
    2245 Stoke v Swansea
    2300 Fulham v Liverpool

    1 Arsenal 24 26 55
    2 Man City 23 42 53
    3 Chelsea 23 23 50
    4 Liverpool 24 29 47
    5 Everton 24 12 45
    6 Tottenham 24 -1 44
    7 Man Utd 24 10 40
    8 Newcastle 24 1 37
    9 Southampton 24 7 35
    10 Aston Villa 24 -7 27
    11 Stoke 24 -14 25
    12 Swansea 24 -6 24
    13 Hull 24 -7 24
    14 Sunderland 24 -11 24
    15 Norwich 24 -18 24
    16 West Brom 24 -6 23
    17 Crystal Palace 24 -18 23
    18 West Ham 24 -9 22
    19 Cardiff 24 -22 21
    20 Fulham 24 -31 19

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad