Rais Jakaya Mrisho kikwete afungua mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa pamoja na kugawa rasimu ya katiba kwa viongozi wake Jijini Dar es Salaam. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, February 06, 2014

Rais Jakaya Mrisho kikwete afungua mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa pamoja na kugawa rasimu ya katiba kwa viongozi wake Jijini Dar es Salaam.

Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maalim Seif Shariff Hamad, Msajili wa vyama vya siasa Jaji Francis Mutungi na viongozi  wa vyama mbalimbali vya siasa na maafisa wa serikali wakitoka kupata chakula cha mchana baada ya kufungua  mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.

 Rais Jakaya Mrisho Kikwete akiwa na Makamu wa Kwanza wa Rais wa Zanzibar Maali Seif Shariff Hamad  katika picha ya pamoja na Makatibu Wakuu wa vyama vya siasa baada ya kufungua  mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.

  Sehemu ya viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa wakiomba dua kabla ya kuanza kwa mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam.
Sehemu ya viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa katika mkutano wa Baraza la Vyama vya Siasa leo Februari 6, 2014 katika Ukumbi wa Mikutano wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam. Picha na Issa Michuzi.


Pamoja na mambo mengine ,Rais Jakaya Kikwete akifungua mkutano  huo wa Baraza la Vyama vya Siasa katika Ukumbi wa Mikutano wa Kimataifa wa Mwalimu Nyerere jijini Dar es salaam, aligawa rasimu ya katiba kwa viongozi wa vyama mbalimbali vya siasa .

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad