Liverpool yawachapa Arsenal mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, February 08, 2014

Liverpool yawachapa Arsenal mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza.


Liverpool imewaadhiri Arsenal waliokuwa wanasifiwa kuwa na ukuta mgumu, kwa kuwafumua mabao 5-1 katika mchezo wa Ligi Kuu ya Uingereza  jioni hii Uwanja wa Anfiled. 

Mabao ya Liverpool leo yamefungwa na Skrtel dakika ya kwanza na 10, Sterling  dakika ya 15 na 52 na Sturridge dakika ya 20.

Bao la kufutia machozi la Arsenal lilifungwa na Arteta dakika ya 69 kwa penalti.

Ushindi huo, unaifanya Arsenal ibaki na pointi zake 55 katika nafasi ya pili baada ya kuchea mechi 25, wakati Liverpool imefikisha pointi 50 baada ya mechi 25 pia, ingawa inaendelea kubaki nafasi ya nne. 

    Liverpool 5 - 1 Arsenal
    Aston Villa 0 - 2 West Ham
    Chelsea 3 - 0 Newcastle
    Crystal Palace 3 - 1 West Brom
    Norwich 0 - 0 Man City
    Southampton 2 - 2 Stoke
    Sunderland 0 - 2 Hull 

League Table


Position Team Played Goal Difference Points
1 Chelsea 25 27 56
2 Arsenal 25 22 55
3 Man City 25 41 54
4 Liverpool 25 33 50
5 Everton 24 12 45
6 Tottenham 24 -1 44
7 Man Utd 24 10 40
8 Newcastle 25 -2 37
9 Southampton 25 7 36
10 Hull 25 -5 27
11 Aston Villa 25 -9 27
12 Stoke 25 -14 26
13 Crystal Palace 25 -16 26
14 West Ham 25 -7 25
15 Norwich 25 -18 25
16 Swansea 24 -6 24
17 Sunderland 25 -13 24
18 West Brom 25 -8 23
19 Cardiff 24 -22 21
20 Fulham 24 -31 19

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad