Tazama taswira ya Watu wachache walivyojitokeza katika mkutano wa Mbunge wa Ngara Bw. Ntukamazina (CCM) uwanja wa Posta ya zamani Mjini Ngara. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Tuesday, January 28, 2014

Tazama taswira ya Watu wachache walivyojitokeza katika mkutano wa Mbunge wa Ngara Bw. Ntukamazina (CCM) uwanja wa Posta ya zamani Mjini Ngara.


Mbunge wa Ngara, Bw.Deogratius Ntukamazina akiwahutubi wananchi wa Ngara Mjini, katika mkutano wa hadhara wa hivi karibuni uliofanyika kwenye Uwanja wa Posta ya zamani ,Wilayani Ngara mkoani Kagera na kuhudhuriwa na Watu wachache Kabisa.



Pamoja na mikutano yake kukumbwa na Mahudhiurio ya Watu wachache, Mbunge huyo wa Ngara, Bw.Deogratius Ntukamazina amekuwa akielezea kile alichokitekeleza katika kuleta elimu bora, kuwawezesha Vijana kujiajiri/Ujasiriamali na afya bora.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad