Tazama taswira ya Picha 10 za muonekano wa baadhi ya Nyumba wilayani Kakonko mkoani Kigoma zikiwa zimeezuliwa kwa Mvua ya upepo mkali iliyoambatana na Mawe leo. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET

Post Top Ad

Thursday, January 30, 2014

Tazama taswira ya Picha 10 za muonekano wa baadhi ya Nyumba wilayani Kakonko mkoani Kigoma zikiwa zimeezuliwa kwa Mvua ya upepo mkali iliyoambatana na Mawe leo.

Muonekano wa Jumba la Maendeleo wilayani Kakonko mkoani Kigoma likiwa limeezuliwa kwa Mvua ya Upepo mkali iliyoambatana na mawe leo (Januari 30,2014) Ni Jengo Lililokuwa Likitumika Kwa Shuguli za mikutano na Harusi wilyanini humo:-Picha Na mdau wetu :- Kenish Berish.

Picha juu na chini Muonekano wa baadhi ya Nyumba  wilayani Kakonko mkoani Kigoma zikiwa zimeezuliwa kwa Mvua ya Upepo mkali iliyoambatana na mawe leo (Januari 30,2014) hadi sasa tathimini ya hasara iliyopatikana haijajulikana.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad