MAAFA SINGIDA: Wananchi wenye hasira wateketeza kwa moto basi la Mtei linalosafiri kati ya Singida-Arusha baada ya kugonga pikipiki, kuua watoto 3 '' - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Thursday, January 09, 2014

MAAFA SINGIDA: Wananchi wenye hasira wateketeza kwa moto basi la Mtei linalosafiri kati ya Singida-Arusha baada ya kugonga pikipiki, kuua watoto 3 ''

Muonekano basi la Mtei linalosafiri kati ya Singida-Arusha likiwa limechomwa moto na Wananchi wenye hasira baada ya kugonga pikipiki, na kusababisa kuua watoto 3 Asubuhi ya Leo Januari 09,2014.


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad