Chelsea yapanda hadi kileleni mwa Ligi Kuu Uingereza kwa muda baada kuifunga Hull City Bao 2-0 huko KC Stadium. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, January 11, 2014

Chelsea yapanda hadi kileleni mwa Ligi Kuu Uingereza kwa muda baada kuifunga Hull City Bao 2-0 huko KC Stadium.

Huku Man City wakitarajiwa kucheza Jumapili(Januari 12,2014) na Arsenal Jumatatu(Januari 13,2014)  Usiku, Chelsea walitumia mwanya huu kuzipiku na kukaa kileleni kwenye Ligi kwa Bao za Kipindi cha Pili za Eden Hazard na Fernando Torres.


Valencia opened the scoring from a cross by the youngster, who was also involved in the build-up when Welbeck deflected Patrice Evra's shot home.

Manchester United secured their first win of 2014 as goals from Antonio Valencia and Danny Welbeck earned them victory over Swansea.
Nao, Sunderland, ambao leo (Januari 11,2014) waliingia dimbani wakiwa mkiani, wamejinasua toka hapo na kupanda nafasi moja juu baada kushinda Ugenini Uwanjani Craven Cottage walipoinyuka Fulham Bao 4-1.

Bao za Sunderland zilifungwa na Adam Johnson, Hetitriki, moja likiwa Penati, na Ki Sung-Yueng huku Bao la Fulham likifungwa na Steve Sidwell.

RATIBA LIGI KUU UINGEREZA 2013/2014.
[Saa za Bongo]
Jumapili Januari 12,2014.

1705 Newcastle V Man City
1910 Stoke V Liverpool

Jumatatu Januari 13,2014.

2300 Aston Villa V Arsenal

Latest Football EPL.
Top of Form

Bottom of Form
  • Hull 0 - 2 Chelsea
  • Cardiff 0 - 2 West Ham
  • Everton 2 - 0 Norwich
  • Fulham 1 - 4 Sunderland
  • Southampton 1 - 0 West Brom
  • Tottenham 2 - 0 Crystal Palace
  • Man Utd 2 - 0 Swansea

As It Stands Table


Position Team Played Goal Difference Points
1 Chelsea 21 21 46
2 Arsenal 20 21 45
3 Man City 20 34 44
4 Everton 21 15 41
5 Tottenham 21 1 40
6 Liverpool 20 23 39
7 Man Utd 21 11 37
8 Newcastle 20 4 33
9 Southampton 21 4 30
10 Hull 21 -5 23
11 Aston Villa 20 -6 23
12 Stoke 20 -11 22
13 Swansea 21 -4 21
14 West Brom 21 -5 21
15 Norwich 21 -18 20
16 Fulham 21 -24 19
17 West Ham 21 -9 18
18 Cardiff 21 -19 18
19 Sunderland 21 -15 17
20 Crystal Palace 21 -18 17

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad