Rwanda yafungwa mechi ya pili mfululizo na Mabingwa Watetezi Uganda na Sudan hizo kucheza Robo Fainali huku Zanzibar kufuzu kesho? - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, December 02, 2013

Rwanda yafungwa mechi ya pili mfululizo na Mabingwa Watetezi Uganda na Sudan hizo kucheza Robo Fainali huku Zanzibar kufuzu kesho?

Kikosi cha Timu ya Rwanda (AMAVUBI) kikiwa hakina wachezaji Twite na Karekezi,kimefungwa mechi ya pili mfululizo katika michuano ya Kombe la Chalenji, maana yake haina nafasi ya kusonga mbele…na kufanya KUNDI C la  leo (Desemba 02,2013) Limalize  Mechi zake za pili na Mabingwa Watetezi Uganda na Sudan zimejihakikishia kucheza Robo Fainali baada ya kushinda Mechi zao.
Katika mchezo wa Uganda dhidi ya  Eritrea ,Bao mbili za Emmanuel Okwi na moja la Hamis Kiiza leo zimewapa Uganda ushindi wa Bao 3-0 walipoicha Eritrea huko Machakos Nchini Kenya.

Huu ni ushindi wa pili kwa Uganda baada ya kuifunga Rwanda 1-0 katika Mechi ya kwanza.

Nao Sudan wakicheza na  Rwanda walipata bao la Kipindi cha Kwanza la mchezaji  Salah Ibrahim limewafikisha Sudan Robo Fainali baada ya kuichapa Rwanda Bao 1-0 katika Mechi ya Kundi C .

Baada Mechi mbili, Sudan wana Pointi 6 kwa kushinda Mechi zao zote mbili.

Katika Mechi ya mwisho ya Kundi C, Sudan watacheza na Uganda na Rwanda watamalizia na Eritrea.

MSIMAMO:-KUNDI A.

TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
KENYA
2
1
1
0
3
1
2
4
2
ETHIOPIA
2
1
1
0
3
1
2
4
3
ZANZIBAR
2
1
0
1
3
4
-1
3
4
SOUTH SUDAN
2
0
0
2
2
5
-3
0
KUNDI B
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
KILI STARS
2
1
1
0
2
1
1
4
2
ZAMBIA
2
1
1
0
2
1
1
4
3
BURUNDI
2
1
0
1
2
1
1
3
4
SOMALIA
2
0
0
2
0
3
-3
0
KUNDI C
TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
SUDAN
2
2
0
0
4
0
4
6
2
UGANDA
2
2
0
0
4
0
4
6
3
RWANDA
2
0
0
2
0
2
-2
0
4
ERITREA
2
0
0
2
0
6
-6
0
**FAHAMU: Timu mbili za Juu kila Kundi zitasonga Robo Fainali pamoja na Washindi wa Tatu wawili Bora.
RATIBA/MATOKEO:-2013/2014.

TAREHE
NA
MECHI
KUNDI
UWANJA
SAA
Jumatano Novemba 27
1
Zanzibar 2 South Sudan 1
A
Nyayo
1400
2
Kenya 0 Ethiopia 0
A
Nyayo
1630
Alhamisi Novemba 28
3
Burundi 2 Somalia 0
B
Machakos
1400
4
Kili Stars 1 Zambia 1
B
Machakos
1600
Ijumaa Novemba 29
5
Sudan 3 Eritrea 0
C
Machakos
1400
6
Uganda 1 Rwanda 0
C
Machakos
1600
Jumamosi Novemba 30
7
Ethiopia 3 Zanzibar 1
A
Nyayo
1400
8
South Sudan 1 Kenya 3
A
Nyayo
1600
Jumapili Desemba 1
9
Somalia 0 Kili Stars 1
B
Nyayo
1400
10
Zambia 1 Burundi 0
B
Nyayo
1600
Jumatatu Desemba 2
11
Sudan 1 Rwanda 0
C
Machakos
1400
12
Eritrea v Uganda
C
Machakos
1600
Jumanne Desemba 3
13
South Sudan v Ethiopia
A
Machakos
1400
14
Kenya v Zanzibar
A
Machakos
1600
Jumatano Desemba 4
15
Kili Stars v Burundi
B
Nyayo
1400
16
Somalia v Zambia
B
Nyayo
1600
Alhamisi Desemba 5
17
Rwanda v Eritrea
C
Nyayo
1400
18
Uganda v Sudan
C
Nyayo
1600
Ijumaa Desemba 6
MAPUMZIKO
ROBO FAINALI
Jumamosi Desemba 7
19
C1 v B2
Mombasa
BADO
20
A1 v 3 BORA 1
Mombasa
BADO
Jumapili Desemba 8
21
B1 v 3 BORA 2
Mombasa
BADO
22
A2 v C2
Mombasa
BADO
Jumatatu Desemba 9
MAPUMZIKO
Jumanne Desemba 10
NUSU FAINALI
23
Mshindi 19 v Mshindi 20
BADO
24
Mshindi 21 v Mshindi 22
BADO
Desemba 11
MAPUMZIKO
Alhamisi Desemba 12
25
Mshindi wa Tatu
1400
26
FAINALI
1600


No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad