Kilimanjaro Stars yafuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Chalenji kwa kuitwanga Burundi kwa bao 1-0. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Wednesday, December 04, 2013

Kilimanjaro Stars yafuzu hatua ya robo fainali ya michuano ya Kombe la Chalenji kwa kuitwanga Burundi kwa bao 1-0.

Mshambuliaji Mbwana Samatta ndiye aliifungia Stars bao hilo pekee katika dakika ya 7.
Tanzania Bara, Kilimanjaro Stars sasa itamenyana na Uganda, katika Robo Fainali za Kombe la Mataifa ya Afrika Mashariki na Kati, CECAFA Challenge, Desemba 7, mwaka huu Uwanja wa Manispaa, Mombasa, Kenya.

hatua hiyo inafuatia Zambia kuifunga Somalia mabao 4-0 katika mchezo wa pili wa Kundi B jioni hii ya leo (Desemba 04,2013) katika Uwanja wa Afraha, Nakuru, Kenya, huo ukiwa ushindi mkubwa zaidi katika mashindano hayo hadi sasa.

Mabao ya Zambia yamefungwa na Bornwell Mwape na Festus Mbewe, kila mmoja mawili.  

Katika mchezo uliotangulia, bao pekee la Mbwana Ally Samatta kwa kichwa dakika ya saba tu ya mchezo huo, akiunganisha krosi maridadi ya mshambuliaji mwenzake wa TP Mazembe ya DRC, Thomas Ulimwengu liliipa Stars ushindi wa 1-0 dhidi ya Burundi.

Ikumbukwe mara ya mwisho Kilimanjaro Stars ilipokutana na Uganda yenye wachezaji nyota kama Emmanuel Okwi aliyewahi kuchezea Simba na Hamisi Kiiza anayechezea Yanga za Dar es Salaam, ilifungwa mabao 3-0 mwaka jana katika Nusu Fainali mjini Kampala, Uganda. 


MSIMAMO:

KUNDI A


TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
KENYA
3
2
1
0
5
1
4
7
2
ETHIOPIA
3
2
1
0
5
1
4
7
3
ZANZIBAR
3
1
0
2
3
6
-3
3
4
SOUTH SUDAN
3
0
0
3
2
7
-5
0

KUNDI B


TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
ZAMBIA
3
2
1
0
6
1
5
7
2
KILI STARS
3
2
1
0
3
1
2
7
3
BURUNDI
3
1
0
2
2
2
0
3
4
SOMALIA
3
0
0
3
0
7
-7
0

KUNDI C


TIMU
P
W
D
L
F
A
GD
PTS
1
SUDAN
2
2
0
0
4
0
4
6
2
UGANDA
2
2
0
0
4
0
4
6
3
RWANDA
2
0
0
2
0
2
-2
0
4
ERITREA
2
0
0
2
0
6
-6
0

**FAHAMU: Timu mbili za Juu kila Kundi zitasonga Robo Fainali pamoja na Washindi wa Tatu wawili Bora.

RATIBA/MATOKEO:

TAREHE
NA
MECHI
KUNDI
UWANJA
SAA
Jumatano Novemba 27
1
Zanzibar 2 South Sudan 1
A
Nyayo
1400

2
Kenya 0 Ethiopia 0
A
Nyayo
1630
Alhamisi Novemba 28
3
Burundi 2 Somalia 0
B
Machakos
1400

4
Kili Stars 1 Zambia 1
B
Machakos
1600
Ijumaa Novemba 29
5
Sudan 3 Eritrea 0
C
Machakos
1400

6
Uganda 1 Rwanda 0
C
Machakos
1600
Jumamosi Novemba 30
7
Ethiopia 3 Zanzibar 1
A
Nyayo
1400

8
South Sudan 1 Kenya 3
A
Nyayo
1600
Jumapili Desemba 1
9
Somalia 0 Kili Stars 1
B
Nyayo
1400

10
Zambia 1 Burundi 0
B
Nyayo
1600
Jumatatu Desemba 2
11
Sudan 1 Rwanda 0
C
Machakos
1400

12
Eritrea 0 Uganda 3
C
Machakos
1600
Jumanne Desemba 3
13
South Sudan 0 Ethiopia 2
A
Machakos
1400

14
Kenya 2 Zanzibar 0
A
Machakos
1600
Jumatano Desemba 4
15
Kili Stars 1 Burundi 0
B
Nyayo
1400

16
Somalia 0 Zambia 4
B
Nyayo
1600
Alhamisi Desemba 5
17
Rwanda v Eritrea
C
Nyayo
1400

18
Uganda v Sudan
C
Nyayo
1600
Ijumaa Desemba 6

MAPUMZIKO





ROBO FAINALI



Jumamosi Desemba 7
19
C1 v B2

Mombasa
BADO

20
A1 v 3 BORA 1

Mombasa
BADO
Jumapili Desemba 8
21
B1 v 3 BORA 2

Mombasa
BADO

22
A2 v C2

Mombasa
BADO
Jumatatu Desemba 9

MAPUMZIKO



Jumanne Desemba 10

NUSU FAINALI




23
Mshindi 19 v Mshindi 20


BADO

24
Mshindi 21 v Mshindi 22


BADO
Desemba 11

MAPUMZIKO



Alhamisi Desemba 12
25
Mshindi wa Tatu


1400

26
FAINALI


1600





No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad