![]() |
|
Katibu mkuu wa Chadema Dr
Wilbroad Slaa akiwahutubia wananchi wa Kahama mara
baada ya kuwasili mjini hapo kwa ziara yake ya
kichama jana(Desemba 04,2013).
|
![]() |
|
Dr Slaa akisalimiana na wananchi
waliofika kumpokea mjini Kahama jana. leo Desemba 5, atakuwa
Wilaya ya Kakonko, Jimbo la Buyungu na Desemba 6, atakuwa Jimbo la Muhambwe.
|







No comments:
Post a Comment