Tazama Taswira ya Ajali mbaya ya Bus la Adventure na Lori iliyotokea leo Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Monday, November 04, 2013

Tazama Taswira ya Ajali mbaya ya Bus la Adventure na Lori iliyotokea leo Wilayani Kasulu Mkoani Kigoma.

  • Ajali  hiyo mbaya iliyolihusisha  Bus la Adventure lililokuwa linatoka Mkoani Kigoma kwenda Jijini Dar es Salaam  na Lori imetokea leo Asubuhi (Novemba 04,2013 katika eneo la Malagarasi wilayani Kasulu Mkoani Kigoma ambapo Dereva wa bus  hilo amekatika miguu yote huku Abiria wengine wakijeruhiwa vibaya kwa kusagika miguu.


2 comments:

Post Bottom Ad