Taswira ya Ajali ya Transit leo katika Mtelemko wa K9 wilayani Ngara Mkoani Kagera,Barabara kuu ya Isaka- Ngara –Bujumbura. - Mwana Wa Makonda

Muhtasari

X-BET


Post Top Ad

Saturday, October 05, 2013

Taswira ya Ajali ya Transit leo katika Mtelemko wa K9 wilayani Ngara Mkoani Kagera,Barabara kuu ya Isaka- Ngara –Bujumbura.

Ni ajali iliyotokea leo (Octoba 05,2013)baada ya gari hili kufeli mfumo wa breki na Dereva wake kuamua kuligongesha katika kingo za barabara ,kabla pia upepo  wa gurudumu mojawapo la mbele kupasuka na Dereva akashindwa kuimili mtelemko mkali katika maeneo ya K 9 wilayani Ngara Mkoani Kagera katika  barabara kuu ya Isaka-Ngara-Bujumbura..
Picha na Mdau Mwl.Veda Gunda...Kasharazi-Ngara.


Transit hili limeanguka katika mtelemko wa kutoka K9 ingawa watu wamesalimika wote waliokuwa kwenye gari hilo.

No comments:

Post a Comment

Post Bottom Ad